Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, September 13, 2013

 
Drakeanashitakiwa na mtu ambaye anadai alibuni na kutengenezaza kito cha bundi, mtandao wa TMZ unasema anyemdai Drake,ni Michael Raphael Baden mmiliki wa Baden Inc.Michael Raphael Baden andai rappa Drake alikubaliana naye mwezi January kwamba amtengenezee  kito cha bundi ambacho kiligharimu karibu $50,000. Lakini cha kushangaza mwezi June rappa Drake alifyatua vito vya mfano huo na alitumia alama hiyo ya bundi katika Instagram account yake na katika shughuli zake mbalimbali za promotion(OVO.

0 comments:

Post a Comment