Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, September 13, 2013

Kiukweli CLUB SAFARI ndo Club bora Ndani ya JIJI la ARUSHA na Tanzania kwa ujumla kuanzia Sound ya ukweli ,Ma Djs , Muonekano.NI Club mpya katika jiji la Arusha ipo Kisongo Near Arusha airport SUNDOWN CARNIVAL.

Karibu sana KIOTA CHA BURUDANI SIKU YA IJUMAA NA JUMAMOSI.
 Muonekano wa ndani Club Safari
2jiachie tunaomba wamiliki wa Website na Blog za habari kutusapoti kuiweka kwa blog na website zenu tujiachie pamoja kila siku ya IJUMAA NA JUMAMOSI ndani ya Club Safari Arusha kwa maelezo zaidi contact Nicolaus Trac Project Manager wa 2jiachie 0755 451 999.
Don't Miss the best mix of music from  the best DJS@ CLUB SAFARI ARUSHA.

0 comments:

Post a Comment