Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, September 16, 2013

Lil Wayne, Floyd Mayweather, Jr., and Justin Bieber
Bingwa wa masumbwi Floyd Mayweather, Jr. aendeleza recodi yake ya kutopigwa baada ya kumshinda mpinzani wake Saul "Canelo" Alvarez huko Las Vegas katika pambano la raundi 12.Bondia huyo mwenye makeke Floyd Mayweather Jr. aliingia ukumbini kwa mbwembwe huku akisindikizwa na Young Money boss Lil Wayne na pop star Justin Bieber,Lil Wayne ambaye alimsindikiza Mayweather huku akiimba A Milli.Ripoti zinadai bondis Mayweather amelipwa dolla millioni 41.5 na nyingine kama dola millioni 350 wakati bondia Canelo amelipwa dolla millioni 5.
Baada ya Floyd Mayweather, Jr. kushinda mpamano huo liliandaliwa bonge moja la after party. pande za Las Vegas ambapo ma star kibao walihudhuria,P Diddy,Ciara,Nas,Rick Ross,2 Chains,Buster Rhymes nk.

0 comments:

Post a Comment