Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, September 23, 2013

G. Dep Feels "Absolved" After Confessing To Murder
Mwaka 2010, aliyekuwa mmoja wa wana Bad Boy,Trevell Coleman aka G. Dep alijipeleka polisi na kujtaja kuwa ndiye muhusika wa tukio la mauaji la mwaka 1993.
Mwaka 2012 rapaa G Deep alihukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa makosa ya mauaji.
Rapaa G Deep mahojiano na ABC News, alisema hajutii na kamwe hatojutia uamuzi huo wa kujitaja muuaji,
rappa huyo aanasema pengine asingejitaja angeua tena mtu mwingine ama angeuawa,hakukuwa na njia nyingine ya kurudisha amani na furaha ya moyo wangu kama niliyonayo sasa zaidi ya kujitoa sadaka kwa uovu wangu.Mwaka 2010,Diddy amaye alimsaini Dep Bad Boy mwaka 1998,aliongelea tukio hilo alipoojiwa na XM Radio's "Shade 45,"kuhusu yaliyoripotiwa na ABC News. Diddy alisema,G. Depni moja kati ya watu wazuri niliowahi kufanya nao kazi,kuna wakati nilikuwa naona jamaa hayupo poa,kama anasumbuliwa na kitu,alikuwa ni mkimya sana.Akiongelea tukio lakutaja muhusika wa mauaji Diddy amesema,amefanya jambo jema ila namoumbea salama,naamini alifanya tukio wakati akiwa mteja wa madawa ya kulevya. G. Dep alitamba sana na track yake:Specila Delivery.

0 comments:

Post a Comment