Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, September 24, 2013

The 20/20 Experience - 2 of 2
Justin Timberlake aliahidi kuwa mwaka 2013 ni mwaka wake,Justin Timberlake aliachia albamu iliyouza sana mwaka huu ya  The 20/20 Experience mwezi wa 3.Katika kukuhakishia kweli mwaka 2013 ni mwaka wa Justin Timberlake,ametangaza kuachia albumu ya The 20/20 Experience 2 of 2 ambayo imetayarishwa na producer Timbaland mwezi Sept tar 30.Albamu hiyo ina track 11 na ndani yake kuna singo kama “Take Back the Night” na “TKO,”Justin Timberlake pia anasema amemshirikisha Drake katika song“Cabaret” na rappa Jay Z katika song “Murder.
The 20/20 Experience – 2 of 2 Tracklisting
1. “Gimme What I Don’t Know (I Want)”
2. “True Blood”
3. “Cabaret” feat. Drake
4. “TKO”
5. “Take Back the Night”
6. “Murder” feat. Jay Z
7. “Drink You Away”
8. “You Got It On”
9. “Amnesia”
10. “Only When I Walk Away”
11. “Not a Bad Thing”

0 comments:

Post a Comment