Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, September 16, 2013

Gucci Mane
Gucci Mane matatizoni tena.Rappa huyo mtukutu alitiwa nguvuni siku ya jumamosi asubuhi huko Atlanta kwa makosa ya kukutwa na kiasi kidogo cha madawa ya kulevya aina ya bange na bunduki.Mtandao wa TMZ unaripoti kwamba tukio hilo lilitokea majira ya saa 6 za usiku.

0 comments:

Post a Comment