Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, September 17, 2013

 
Akiongea na waandishi wa jarida la Complex Magazine  mwanamuziki Iggy Azalea amesema,wakati akiwa na umri wa miaka 13 alijitengezea kitambulisho feki na alijipodoa vya kutosha ili aweze kuingia katika kumbi za starehe,avute sigara na kunywa pombe bila kuhojiwa,na kama haitoshi alipata mwanya wa kukutana na kutembea na wanaume waliomzidi sana umri kwa kudhani bint huyo ni mkubwa.Azalea amezaliwa na kukulia hukoMullumbimby,Australia.

0 comments:

Post a Comment