Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, September 17, 2013

Rick Ross 
Bosi wa Maybach Music, Rick Ross atafanya ziara ya muziki kwaajili ya kuitangaza albamu yake inayokuja. 

Ziara hiyo iliyopewa jina la “Mastermind” tour itafanyka katika miji 8,ikianzia Nov. 12 huko Detroit miji kama Boston,New York na Atlanta na kumalizikia Nov. 23 mji wa nyumba kwake,Miami.Rappa Rick Ross atatumbuza na bendi ya the 1500 or Nothin’ Band aka “The Fifteen Hundreds.Akiongea na waandishi wa habari,Boss amesema atatumbuiza na live band track zake zote zilizofanya vizuri kuanzia Tears of Joy’hadi ‘Aston Martin Music.Rappa Rick Ros anajiandaa kuachia albumu yake ya sita Mastermind lmwishoni mwa mwaka huu na katika kudhihirisha hilo ameshaachia track inayokwenda kwa jina la“No Games,”.

0 comments:

Post a Comment