Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, September 10, 2013


Rappa toka pande za  Atlanta,Gucci Mane anapamba vichwa vya habari wiki hii kwa kuwachana  Keyshia Cole,mke wa T.I,Tiny,Nicki Minaj,Drake & Young Money.Siku ya j3 (September 9) Kupitia tweeter rappa Gucci Mane anaklem kuwa yeye na Wacka Floka wamshealala na kufanya kilakitu na Nicki,Gucci anasema alimshusha Nick kutoka katika tour bus la Drake.Gucci anaongeza kusema ameshalala pia na Chyna,demu wa Tyga na kama haitoshi kashatembea na Ciara wakati alipokuwa demu wa 50.Mpaka sasa hatujajua nini chanzo cha rappa Gucci Mane kuwachana ma star hao ila aliyejibu ni Nicki Minaj kwa kucheka huku akisema “May God strike me dead if I ever had sex wit that man,akimaanisha ''Mungu amuue hapo alipo kama kweli ameshawahi kulala na Gucci.Nick ansema chanzo cha hayo yote ni baada ya yeye na Tyga kumchomolea kushiriki katika wimbo wake aliotaka kumchana Pharel.

0 comments:

Post a Comment