Rappa Lil Wayne asema majukumu ya malezi ndiyo anayapa nafasi zaidi ya badala ya entertainer.
Hivi karibuni Lil Wayne alikuwa mgeni mualikwa katika sehemu ya pili ya Katie Couric's show, wakati wa show hiyo Weezy na Kouric walijadili topics nyingi ikiwemo afya yake,watoto wake,maisha aliyopitia ya jela na walizungumzia kuhusu Lil Wyne kustaafu muziki akifika umri wa miaka 35.Upanade wa afya Wizzy alisema,hakuwa anapimzika muda wa kutosha na alikuwa kaitumia sana dawa za kupunguza maumivu mpaka kufikia kumsababishia kuzimiazimia.Wayne ana binti mmoja na watoto wa kiume wa3.
Lil Wayne ameongeza kusema atastaafu akishazindua album zake zaTha Carter IV, na Tha Carter V.
Lil Wayne ama Dwayne Michael Carter, Jr. alizaliwa September 27,1982), huko New Orleans,marekani. Louisiana.
Tuesday, September 10, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment