Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, September 11, 2013


Rappa toka pande za Atlanta Gucci Mane alichafua hali ya hewa katika mitandao ya jamii jana September 9 kwa kuwapaka Nicki Minaj, Waka Flocka Flame, Iggy Azalea,Tyga na mkewe Chyna,T,I na  Rick Ross
Kaka wa Rappa Gucci,Young Throwback aomba radhi kwa wote waliorushiwa maneno makali kupitia akaunt ya twitter ya rappa Gucci.Young Throwback anasema watu wasiojulikana waliiteka kwwa muda akaunt ya twitter ya rappa Gucci na kuwatusi ma star hao,hivyo anaomba radhi kwa usumbufu wowowte uliojitokeza,japo anajua ni ngumu kuamini,ila alimaliza kwa kuandika ''GOD kno d truth''.

0 comments:

Post a Comment