Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, September 12, 2013


Mwanamuziki Clive Tanaka amefungua mashtaka dhidi ya Young Money star Nicki Minaj na producer wake kwa kile alichokiita kuibiwa wimbo,Starships ambao yeye aliuita‘Neu Chicago’ .
Tanaka’s track anasema track hiyo wa Neu Chicago ilikuwa katika albamu yake ya mwaka 2010 album Jet Set Siempre 1.Tanaka anaongeza kusema wimbo wake wa‘Neu Chicago’ulitumika katika television campaigns mbalimbali huko Sweden na producer na waandishi wanyimbo wa Nicki ni raia wa Sweden hivyo ni wazi wameiuiba wimbo huo.

0 comments:

Post a Comment