Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, September 19, 2013

Pink

Muimbaji wa muziki wa pop,P!nk atapokea tuzo ya mwanamke wa mwaka wa Billboard katika sherehe zitakazofanyika Dec.10 huko New York City.lecia Moore aka P!nk,amefikisha album nne (4) zilizofika namba moja katika billboard Hot 100 mapema mwaka huu kwa albam yake ya "Just Give Me a Reason,". Albamu ya 6 ya p!nk"The Truth About Love," imekuwa albamu yake ya kwanza kushika namba 1 katika Billboard 200 baada ya kuachiwa mwezi wa 9,albamu hiyo ilifanya vizuri na single kama "Blow Me (One Last Kiss)," "Try," "Just Give Me a Reason" na"True Love".Albamu hiyo ya The Truth About Love" iliingia pia katika kinyang'anyiro cha Best Pop Vocal Album katika tuzo za GRAMMY.Mshindi wa tuzo ya mwanamke wa mwaka wa Billboard kwa mwaka 2012 ni Katy Perry,wakati Taylor Swift na Beyonce wamshawahi kupata tuzo hii.

0 comments:

Post a Comment