Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, September 19, 2013


Universal Music wametangaza mipango kwa mashabiki wa muziki wa hip hop kuanzia 50 Cent,Lil Wayne, Eminem,Kanye West na Tupac Shakur,mipango hiyo ni ya kampeni waliyoiita Respect The Classics campaign.Universal Music wametangaza mpango wa kuziboresha upya (re-master) baadhi ya album za Hip-Hop zilizofanya poa katika mauzo ambapo wamesema wataanza na albamu ya 50 Cent Get Rich Or Die Tryin ambayo anniversary yake ni tar 12 november.Albamu nyingine ambazo bado hazipangiwa tarehe ya kuachiwa ni za wakina Eminem The Slim Shady,Kanye West 808s & Heartbreak,Lil Wayne Tha Carter,2Pac Greatest Hits.

0 comments:

Post a Comment