Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, September 20, 2013

Angie Martinez, Ja Rule, and Irv Gotti
 Rapaa Ja Rule amefanya mahojiano kwa mara ya kwanza na Angie Martinez wa radio Hot 97,tangu alipotoka jela yapata miezi minne iliyopita.Katika mahojiano hayo Rappa Ja Rule ameongelea jela,beef yake na  rappa 50 Cent na amemuongelea Ashanti.
Kuhusu jela:Ja Rule amesema “Jela inambadilisha mtu, ukiwa jela unapata nafasi ya kuwa mwenyewe muda mwingi haswa usiku,nilipata muda wa kutafakari mambo mengi ya kijinga niliyoyapitia,nilikosa muelekeo kwakweli.Muda huo niloupata nikiwa jela nilisoma hata vitabu vingi.naweza kusema jela imenibadilisha,sasa najihisi nimekuwa na nimemjua Mungu sababu nilisoma sana biblia pia.
Kuhusu 50 Cent haswa mara ya kwanza kusikia “In Da Club”:
Irv Gotti ambaye ni manager wa Ja Rule: amesema kwa kweli ujio wa 50 katika game uliwashtyua kidogo,waliposikia kwa mara ya kwanza walipata na mshitko.
Kuhusu Ashanti:Amesema wapo vizuri,wanaongea,hana tatizo naye na anadhani wapo katika mahusiano mazuri tu.
Rappa Ja Rule ana mipango mingi kimuziki na ukiachilia mbaki muziki Ja Rule ana mpango wa kuja na family reality show.

0 comments:

Post a Comment