Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, November 28, 2013

 
R&B singer Chris Brown yupo rehab kwaajili ya kufundishwa kuzikabili hasira zake,taarifatoka kwa wahudumu wa kituo alichopo zinasema,Chriss Brown anawasumbua wahudumu hao kwa kuwataka wamruhusu kutumia marijuana stash.Chris aliwaambia watumishi hao kwamba ameruhusiwa kutumia the Mary Jane na doctor kama matibabu lakini wahudumu hao wamekataa.

0 comments:

Post a Comment