Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, November 28, 2013


          
The Game alizaliwa November 29,1979 (age 33) huko, Los Angeles, California, United States.
Rapa The Game alianza shamrashamra za kusherekea siku yake ya kuzaliwa jana nov 27 huko Hollywood. Party hiyo ilipambwa na burudani kibao kiwemo iliyowavutia watu zaidi ya shoo ya wadada kucheza kwa kukata mauno ya nguvu ndani ya  Supperclub .Muda mchahe baadae party ikageuka vita baada ya wadada waliokuwa wakikatika walipovaana maungoni kwa kile kinachosemekana kugombea mwanaume,mpaka muda huu hatujapata taarifa zaidi juu ya mgombewa alikuwa nani? Birthday boy ama..........

0 comments:

Post a Comment