Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, November 30, 2013

 Fat Joe
Fat Joe anakila sababu ya kutoa sadakakatika kusherekea sikukuu ya Thanksgiving.Rappa huyo toka pande za Bronx ametoka gerezani mwezi mmoja kabla ya tarehe iliyopngwa.

Fat Joe alianza kutumikia kifungo cha miezi minne (4) mwezi August, tkwa kukutwa na makosa ya ukwepaji  tax na kushindwa kulipa  dolla millioni $3 kwa mapato ya mwaka 2007-2010.Fat Joe alipangiwa kutoka gerezani mwishoni mwa mwezi Dec lakini aliruhusiwa mapema kuoka mapema.
Fat Joe alipost video ikimuonyesh jinshi alivyom sapraizi binti yake aliporudi nyumbani.

0 comments:

Post a Comment