Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, November 22, 2013

 1121_dmx_tmz
DMX na girlfriend  wake,Desiree Lindstrom wameripoti polisi kwamba walimpatia gari na kadi yake mtu mmoja wanaye mtambua kwa jina moja la Lonny ili aende kuliza na awaletee pesa ambapo  naye atapata chake cha udalali.Kilichofuata ni inasemekana jamaa hajaleta pesa,gari wala hapatikani katika simu.
Polisi wanaendelea na kumtafuta Lonny japo wanasema itakuwa kazi kumpata sababu hawalijui jina lake la pili.

0 comments:

Post a Comment