Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, November 22, 2013

 

Siku ya jumanne Michelle Obama alikuwa mgeni mualikwa katika kipindi cha televisheni cha  BET"106 & Park".Watu waliokuwapo walipata nafasi ya kumuuliza maswali Michelle Obama na ndipo swali kubwa likawa,katika kupenda kwako kuvaa na kwenda na wakati,siku ipi unajutia na na ulivaa nguo ipi? Michelle Obama akajibu kwamba hatoisahau siku aliyovaa kikaptura akishuka katika ndege ya raisi wa marekani,Air Force One,kwani ilizua gumzo kubwa kwa watu,lakini wakashau hatukuwa kazini,tulikuwa vacation!

0 comments:

Post a Comment