Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, November 26, 2013

  
Aliyekuwa mke wa Marc Anthony,Dayanara Torres ,Miss Universe wa mwaka 1993 anadai kile anachokiita kuongezewa pesa za matumizi kwa watoto kutoka  $13 K  kwa mwezi mpaka kufikia $113K ili aweze kumudu kulea watoto wao wawili.Dayanara, andai Marc alimuacha masikini walipotalikiana na kudai  jamaa alikwenda kumnunulia JLO pete ya thamani ya dolla millioni 4.Dayanara anadai pia Marc alikuwa anapitisha mawiki na mieze bila kuwaona watoto na matokeo yake watoo waliishia kumuona tu katika tv akila bata na JLo.Dayanara anaongeza kusema Marc hajali mambo ya maana kwani hata aina za zawadi anazoleta kwa kwa watoto ni matoy,XMAS iliyopita aliwatumia mabox makubwa manne ya matoya makubwa na hapa kwangu ni padogo,hivyo wamekosa pa kuyachezea.
Dayanara pia anasema Marc anapendelea sana watoto wa JLO na anawapita matumizi kwa wakati.
Marc Anthony na  Jennifer Lopez walipata watoto wawili,Max na Emme.


0 comments:

Post a Comment