Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, November 22, 2013

 
John F Kennedy alikuwa ni raisi wa 35 na ni raisi wa kwanza wa Amerika aliyezaliwa  karne ya 20,Kennedy alizaliwa May 29, 1917. katika familia ya kitajiri.

Mwaka1960, Kennedy aliteuliwa kugombea uraisi wa Marekani dhidi ya Richard Nixon, ambaye alikuwa ni makamu wa raisi kwa kipindi hicho.Nixon alifanya kosa kubwa kukubali kufanya debate live katika televisheni.Kennedy alishinda japo kwa kura chache.
John Fitzgerald Kennedy aliuliwa kwa risasi alipokuwa akitembelea mitaa ya Dallas,Texas,akiwa katika gari ya wazi.Leo ni miaka 50 ya kmbukumbu ya kifo cha aliyekuwa raisi wa Marekanit John F Kennedy.


0 comments:

Post a Comment