Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, December 20, 2013



Muimbaji mwenye tuzo za Grammy-Rihanna hawezi kukwepa minong'ono juu ya mahusiano.Baada ya ripoti kudai mrembo hupo anayetamba katika muziki alionekana akiwa karibu sana kama wapenzi na rappa Drake wikiendi zilizopita,hivi karibuni ameonekana akila bata na rappa toka New York,A$AP Rocky.

Ripoti zinadai wawili hao wameonekana wakila bata maeneo ya the Big Apple
Rihanna na A$AP Rocky wameshawahi kukana kuwa hawana mahusiano lakini walionekana wakiinjoy pamoja katika  club wakicheza pool na kupata vinywaji japo hawakuonekana waki kiss.

0 comments:

Post a Comment