Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, December 20, 2013


"We should be proud that we were part of an era when they lived," ndivyo lilivupandikwa bango kubwa lililowekwa pembezon mwa barabara ya southern city huko Coimbatore,India.

Bango hilo kubwa lililipiwa na kuwekwa na mfanya biashara mkubwa wa anayemiliki vinda vya nguo huko India,Chandrashekhar, ambaye aliamua kufanya hivyo kama kuonyesha heshima kwa aliyekuwa raisi wa Africa kusini,Nelson Mandela.
Bwana Chandrashekhar amesema kuweka picha ya sura ya mcheza sinema Morgani Freema badala ya Nelson Mandela ni makosa ya aliyedizaini bango hilo.Bwana Chandrashekhar ameongrza kusema kwamba watabadilisha bango hilo na kuweka picha ya sura ya Nelson Mandela ambaye alifariki tarehe 5 dec mwaka huu.

0 comments:

Post a Comment