Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, December 18, 2013

 Pharrell
 Pharrell Williams anauanza mwaka mpya akiwa na record label mpya, hitmaker huyo mshindi wa tuzo za  Grammy  amesainiwa Columbia Records.

Pharrell Williams anaungana na mastaa kama Beyoncé na T.I., it was announced today. Pharrell hapo hawali alikuwa amesainiwa na Interscope Records,ambapo mwaka 2006 aliachia albamu ya My Mind.
Mkataba wake na Columbia unaanza mwaka 2014 na utahusika na kusimamia singo yake ya “Happy,”ambayo itatumika katika soundtrack ya filamu ya  Despicable Me 2.

0 comments:

Post a Comment