Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, December 5, 2013

 
 Drake maetangaza kuwa amepata dili ambalo ni kuingia ubia na MICHAEL JORDAN na Nike katika kutngeneza raba.Drake alitoa tangazo hilo katika concert hukoPortland karibu na makao makuu ya Nike.  Drake akiongea na mashabiki waliohudhuria katika tamsha kwa kusema:,"Today I came to Portland, and I officially became inducted into the Team Jordan family." Drake amesema hiyo imekuwa ni siku muhimu katika maisha yake.Katika kuuhakikishia uma,rappa huyo amepost picha ya raba hizo.
1204-subasset-drake-kanye-01

0 comments:

Post a Comment