Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, December 6, 2013


 Nelson Mandela amefariki jana saa 2:50 na kutangazwa sa 5:30 usiku tarehe 5 December akiwa na umri wa miaka 95 baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Nelson Mandela amezaliwa  july 18,1918, Mvezo, South Africa. 
Nelson Mandela ameacha mke aliyemuoa mwaka 1998, Graça Machel
Nelson Mandela ameacha watoto Makaziwe Mandela, Zenani Mandela,aliowapata na aliyekuwa mke wake Winnie Madikizela-Mandela aliyeishi naye kuanzia mwaka 1958–1996)
Died: December 5, 2013, Johannesburg, South Africa
Nelson Mandela ameashawahi kutunukiwa tuzo ya Nobel Peace Prize, Bharat Ratna nk
katika wosia wake mzee mandela aliomba kuzikwa na wanawe huko village of Qunu.
Namfahamu Nelson Mandela kama:

(i) Mtu mwenye moyo wa kijasili.
(ii) Mtu aliyependa na kutetea haki na utu
(iii) Mtu mwenye Uthubuthu: alithubutu kupambana dhidi ya utawala wa kiamabavu wa watu weupe na watu  wesi,alipenda kuona wote wanaishi pamoja kwa furaha.
(iv) Mtu mashuhuri mwenye ushawishi mkubwa,mwenye busara na mapenzi,
juuhudi zake ndizo zilizopelekea kuwa na africa kuwa na amani
(v) Aalama ya mshikamano
(vi) Maisha ya mandela ni somo na mfano mwema
(vii) Mfano na kielelezo bora cha democrasia

Africa kusini imefiwa na baba,raia mwenye hshima ya hali ya juu.
Nelson Mandela na Mwl Nyerere walipigania uhuru na amani kwa watu wa africa.



0 comments:

Post a Comment