Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, December 23, 2013

 
Eminem & Kanye West wagoma kupiga show ya NFL kwa kile ambacho kinaitwa mkwanja mfupi,ripoti zinadai Eminem alitaka alipwe dolla millioni 2 wakati Kanye West alitaka dolla millioni 1 na ushee ndiyo watumbuize katika tamasha linalofanyika kila mwaka la NFL Owners Party.

Baada ya ya mastaa hao kugoma kupunguza bei hiyo,uongozi wa NFL umeamua kumpa dili hilo muimbaji Janelle Monae, ambaye alitaka kiasi cha dolla 150,000.
The NFL Owners Party hufanyika kila mwaka kabla ya fainali za Super Bowl na huudhuriwa na watu zaidi ya 1,500.

 

0 comments:

Post a Comment