Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, December 23, 2013

 
Kuna kutokuelewana kati ya mashabiki wa Paul Walker na wakazi wanaoishi mtaa ambao staa huyo wa filamua alifariki kwa ajali.Masahabiki wa staa huyo wa filamua huyo wanataka kuweka kumbukumbu na wanapendekeza mtaa huo uitwe "Walker Rodas Memorial Parkway. wakati baadhi ya wakazi wa mtaa huo hawaungi mkono pendekezo hilo.

0 comments:

Post a Comment