Tyga aliwatembelea kwa kuwashtukiza watoto wagonjwa 60 na kuwapatia zawadi mbalimbali zikiwemo nguo,vifaa vya muziki kama headphones nk.Lakini wakati anafanya hayo akapata muda wa kupiga story na mmoja kati ya watoto anayetwa Isael ambaye alimueleza Tyga kwamba anasumbuliwa na figo hivyo inabidi apatiwe nyingine ndiyo aendelee kuishi,ndipo rappa huyo alipomuhaidi kumsaidia.
Tyga ameanza mchakato kwa kuwajuza mashabiki wake wa Twitter na Instagram wasaidiane naye.
Monday, December 23, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment