Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, December 16, 2013

 
Rapa Busta Rhymes amejitokeza na kusema wasanii kama Kanye West na Drake wanastaili kupewa nafasi zaidi za kutajwa katika kinyang'anyiro cha tuzo za Grammy.Busta Rhymes amesema amefurahia Kendrick kutajwa mara 7,pia  Jay Z kutajwa mara 9 ila nadhani Drake na Kanye swangeapata nafasi zaidi ya kutajwa mara kadhaa tena especially Kanye,kwasababu anafanua muziki mzuri,ana albamu kali,na mimi ni mshabiki wa huyu jama.Rapa Kanye West amepewa nafasi 2 za kugombea tuzo za Grammy,1 Best Rap Album na 2 ni Best Rap Song.

0 comments:

Post a Comment