Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, December 16, 2013

Beyoncé
Queen Bey afanya maajabu na albamu yake iliyoitoa kwa kushtukiza,albamu hiyo imeizwa zaidi ya nakala 430,000 kupitia iTunes ndani ya masaa 24.


Hapo awali ilitangazwa BEYONCÉ ameuza nakala 80,000 ndani ya masaa matatu yaani kuanzua saa 3 usiku mpa saa 6 siku ya alhamisi.Siku ya ijumaa alizuza nakala nyingine 350,000 na kufanya jumla ya mauzo ya nakala za albamu yake hiyo kuwa 430,000.
Hii si mara ya kwanza kwa Beyonze kushnangaza kwa mauzo ya siku ya kwanza,mwaka 2006 album yake ya B’Day ilifungua kwa mauzo ya nakala 541,000 katika siku ya kwanza.
Albamu hii ya surprise ya Beyonce inauzwa kwa dola15.99 za kimarekani na ina nyimbo 14 na video 17. Albamu hii imefanikishwa kwa kuwashirikisha wakina Jay Z,Drake,Frank Ocean,Blue Ivy, Justin Timberlake,Miguel etc.

0 comments:

Post a Comment