Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, December 16, 2013





Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amezikwa huko nyumbani kwao katika kijiji cha Qunu,Cape Mashariki.
Maelfu ya waombolezaji walihudhuria mazishi hayo ikiwemo viongozi mbalimbali wa kidiplomasia.Mandela aliagwa kwa kupigiwa mizinga 19 na jeshi  na laiwashiwa Mishumaa 95 kama ishara ya miaka yake.
 
 



0 comments:

Post a Comment