Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, December 16, 2013


Mcheza sinema mahiri wa huko marekani aliyejipatia umaarufu mkubwa kwa kuwa kinara katika filamu za Fast n Furious,Paul Walker amezikwa siku ya jumamosi tar 14 dec 2013  huko Los Angeles ikiwa ni sikua 14 zimepita tangu kifo chake kilichotsababishwa na ajali ya gari.

Ilikuwa ni siku ya udhuni sana kwa wanafamilia na watu wake wa karibu,wazazi wake,dada yake,binti yake wa miaka 15,kaka zake na marafiki wa karibu walionekana wakifarijiana kwa kwa kumbatiana kwa huduni mkubwa.
Walker na rafiki yake Roger Rodas walifariki Nov. 30 baada yagari walilokuwa wakiendesha aina ya 2005 Porsche Carrera GT kugunga nguzo ya taa za barabarani.
 

0 comments:

Post a Comment