Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, December 14, 2013


Ile labam ya Beyoncé iliyoachiwa kwa kushtukiza bado imeendelea kushtua kwa muelekeo wake katika mauzo kwani tunataarifiwa kuwa imeuza zaidi ya nakala 80,000 ndani ya masaa matatu tangu iingizwe katika iTunes.Mtandao wa Billboard,umesema kwa record hiyo ya mauzo katika iTunes albamu hiyo itafika No. 1 katika chati za Billboard top 200 mpaka kufikia siku aya jumatano December 18.

Albamu hiyo mpya ya Beyonce ina tracks 14 na video 17 ambapo ndani yake wameshirikishwa watu kama Jay Z,Drake, Frank Ocean na Blue Ivy.

0 comments:

Post a Comment