Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, December 13, 2013

 
Jarida la Forbes limewataja Madonna,Beyoncé,Nicki Minaj kama wanawake wanaolipwa zaidi katika kipengele chake cha "Highest Paid" Women List.
Kwa kujiingizia dolla millioni 125 million,Madonna ameongoza Forbes' list of richest celebrities, katika orodha ya wanamuziki matajiri zaidi duniani. Lady Gaga ametengeneza dolla millioni 80 na imemuweka katika nafasi ya 2 katika orodha ya wanawake wanamuziki wenye mkwanja zaidi.
R&B superstar Beyoncé  yupo katika ordha hiyo na ndani ya Top 5 nyuma ya Taylor Swift.

No.1 Madonna kwa kuingiza $125 million. 
No. 2 Lady Gaga ameingiza $80  million
No.3 Taylor Swift  kwa kuingiza $55 million 
No.4 Beyoncé ameingiza $53 million
No.5 Jennifer Lopez ameingiza $45 million)
No.6 Rihanna $43 million
No.7 Katy Perry $39 million 
No.8 Pink $32 million  
No.9 Carrie Underwood $31 million
No.10 Mariah Carey na Nicki Minaj wamefungana kwa kuingiza $29 million.
   

Mwaka uliopita Britney Spears aliongoza Forbes' Highest-Earning Women in Music list.
1. Britney Spears ($58 million) 2. Taylor Swift ($57 million) 3. Rihanna ($53 million) 4. Lady Gaga ($52 million) 5. Katy Perry ($45 million) 6. Beyoncé ($40 million) 7. Adele ($35 million) 8. Sade ($33 million) 9. Madonna ($30 million) 10. Shakira ($20 million) 

0 comments:

Post a Comment