Gazeti la Us Weekly linaripoti Madonna mwenye umri wa miaka 55 ameachana na dogodogo wake Zaibat mwenye umri wa miaka25.
Madona na Zaibat walianza mahusiano mwaka 2010 ambapo tunararifiwa Madonna alimzimikia kijana huyo baada ya kutumbuiza katika uzinduzi wa bidhaa za Material Girl za binti wa Madonna.Taarifa zaidi zinadai Madonna alimpa dili la kuwa backup dancer wake katika ziara ya MDNA.
Mpata tunarusha habari hizi bado haijafahamika nini chanzo cha wawili hao kutengana.
Nahawa ni baadhi ya mastaa walioahana:
Maria Shriver & Arnold Schwarzenegger

Christina Aguilera & Jordan Bratman

Kim Kardashian & Kris Humphries

Jennifer Lopez & Marc Anthony

Martin Lawrence& Shamicka Lawrence

Katie Holmes & Tom Cruise

Justin Bieber and Selena Gomez

Britney Spears & Jason Trawick

Clint Eastwood and Dina
Miley Cyrus & Liam Hemsworth

Thursday, December 12, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment