Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, December 12, 2013

 
Kuna ripoti zilitoka mwezi october kuhusu rappa the Game kujiunga na Cash Money Records,rappa huyo toka pande za Compton  ameongea na CivilTV kuhusu mahusiano yake na label hiyo na kinachoendelea katika kukamilisha dili hilo.Ripoti zilizotolewa na MTV,zinadai Game bado hajasaini mkataba wowote na Cash Money.

Akidhihirisha hayo the Game amsema,kwasasa nipo tu nafurahia maisha huru japo tupo katika maongezi na boss wa Cash Money records,Birdman kuangalia tunafanya vp kazi japo amesema kuna uwezekano mkubwa.
Habari za uwezekano wa Game na Birdman kusaini zisambaa mwezi October katika mitandao ya kijamii(via social media)


0 comments:

Post a Comment