Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, May 29, 2014


Kampuni ya teknolojia,Apple imethibitisha kuwa itanunua vifaa vya kusikilizia muziki  kutoka kampuni ya Beats Electronics katika makubaliano ya dola bilioni 3.

Hatua hiyo ni  jitihada ya Apple kutaka kuteka katika soko la kusikiliza muziki kwenye mtandao.
Mbali na ununuzi huo, waanzilishi wa Beats Jimmy Lovine na msanii wa kufoka na Hip Hop namtayarishaji wa muziki,Dkt. Dre watajiunga na kampuni hiyo ya kiteknolojia.Apple ina huduma ya iTunes ambayo ndio kubwa zaidi duniani inayohusiana na mziki, na ilianzisha kituo cha radio cha iTunes mwaka uliopita.

0 comments:

Post a Comment