Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, May 29, 2014


Justin Bieber mwenye umri wa miaka 20 ameonekana akijivinjari na mama wa watoto wawili ambaye amatalikiwa na mumewe Marko Jaric baada ya kuwa katika ndoa kwa miaka mitano ,mwanamitindo Adriana Lima mwenye umri wa miaka 32 huko Cannes katika Cannes Film Festival ambayo ilianza 14 mpaka 25 May 2014.Mtu aliyeshududia tukio hilo amelieleza gazeti la Us Weekly kwamba,alimuona Justin akiwa na mama huyo kimahaba na baadaye wakaingia hotel fulani huko Cannes,France.

0 comments:

Post a Comment