Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, May 23, 2014

0522-brett-nichols-michael-jackson-youtube-getty-01

Kijana wa umri wa miaka 17 ambaye ni mshabiki wa Michael Jackson,Brett Nichols ameshinda shindano la vipaji shuleni kwake kwa kucheza vema kumuigiza mfalme wa pop Michael Jackson,Brett Nichols hajashinda tu shindano la vipaji shuleni kwake bali amejipatia ushindi mkubwa ikiwa na kuwavutia wanafamilia wa MJ ambao wamemtumia mualiko aende Las Vegas kufanya nao tamasha.
Upande wa familia ya Michael Jackson umesema umevutiwa na jinsi kijana huyo alivyoitendea haki taswila ya mfalme wa pop hivyo wamemtumia Nichols CDs 2na mwaliko yeye na familia yake  yaani mama ake ,dadake na babaake kuhudhuria tamasha la Michael Jackson ONE huko Las Vegas. 
Tunataarifiwa famulia ya MJ waliwasiliana na mkuu wa shule anayosoma Nichols ambaye aliwafikishia ujumbe huo wa habari njema kwa famila yake. 

0 comments:

Post a Comment