Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, May 23, 2014


Jay Z,Beyoncé,Tyga, Q-Tip, BlacChyna katika orodha ya waalikwa harusi ya KimYe
Rapppa Jay Z na mkewe Beyoncé Knowles Carter,Tygana mama mtoto wake BlacChynaand,rappa , Q-Tip,ni baadhi tu ya wageni walioorodheshwa kuhudhuria harusi ya Kanye West na Kim Kardashian.
Us Weekly limendika watu maharufu wengi wamealikwa na West na Kardashian katika harusi yao ya kimataifa itakayofanyika weekend hii ambapo kutakuwapo pia a rehearsal dinner huko Paris,France,na sherehe maalum uko Florence, Italy.Waalikwa wengine ni model Teigen na mumewe John Legend,star wa  tennis Williams,basketball stars Scottie Pippen na Carmelo Anthony na wake zao,maboyfriends wa dada zakeKim Kardashian ,Larsa Pippen na La La Anthony na sonara maarufu Lorraine Schwartz.

0 comments:

Post a Comment