Tarehe
28 Machi Jolie aliolewa na muigizaji filamu wa kiingereza maaurufu kama
Jonny Lee Miller,
mshirika mwenzie katika filamu ya "Hackers". Aliuzuria harusi yake
akiwa amevaa suruali nyeusi ya ngozi na shati leupe, lilochorwa jina la
bwana harusi mgongoni kwake.
Baada ya mwaka mmoja Jolie na Miller wakatengana, arafu taraka ilifuata baadae
3 Februari 1999.
Wakawa wamebaki kwenye hali nzuri na baadae Jolie alikubali kuwa jamaa
alikuwa mume mzuri na msichana anaweza akamtaka 'na nitaendelea
kumpenda' kwasababu wote tulikuwa tungali vijana.
Baadae akaolewa tena na muigizaji
filamu wa ki
marekani "Billy Bob Thornton", ambaye alikutana nae katika filamu ya "Pushing Tin" iliyochezwa mwaka
1999. ilifika tarehe
5 mei 2000,
ilikuwa siku ya kutangaza penzi mbele ya hadhara na kufanya mshangao
mwingine tena wa kuzungushia baadhi ya vitu kwenye shingo zao, mahusiano
yao yakaja kuwa ni mada inayopendwa kuzungumziwa kila mara kwenye
vyombo vya habari.
Jolie na Miller waliachana tarehe
27 Mei. Mwanzoi mwa mwaka 2005 Jolie alikubwa na kashfa na kushtakiwa kwamba yeye anahusika na utarikiano baina ya muigizaji
Brad Pitt na
Jennifer Aniston kuwa Jolie alikuwa mwanamke wa nje wa
Brad Pitt hivyo kufunguliwa mashtaka ya kuaribu ndoa yake.
Mahusiano ya Jolie na Pitt yalianza pale walipoigiza filamu pamoja
katika filamu ya "Mr. & Mrs. Smith", japokuwa alikuwa akikana mara kadhaa kwenye vyombo vya habari aikihojiwa juu ya hilo.
Hizi ni baadhi ya filamu alizoigiza Angelina Jolie kinara
0 comments:
Post a Comment