Donald Sterling aliingia na kukaa katika kanisa la watu weusi huko South L.A. marekani kwa takribani masaa mawili.Donald Sterling alifika kanisani hapo kwaajili ya kufanya maobi na kuomba radhi kwa watu weusi kutokana na kauli zake kali za kibaguzi alizozitoa kwa mwanamke aliyekuwa mpenzi wake mwenye asili ya kiafrica.Kitendo cha kufika kanisani hapo bw Donald Sterling kiliwaera baadhi ya waumini wa kanisa hilojapo alikwenda kwaajili ya kuomba asamehewe na wasahau.
Taarifa zaidi zinasema kanisa hilo ambalo waumini zaidi ya mamia huudhuria lakini sik hiyo walibaki 30 tu na kama haitoshi hata baadhi ya wazee wa kanisa hilo waliondoka.
Monday, June 2, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment