The Council of Fashion Designers of America, Inc. (CFDA), ni taasisi isiyo ya kibiashara ilianzishwa mwaka 1962 na Eleanor Lambert,kuwainua na kuwatuza wanamitindo na wabunifu wa mitindo wa America. Sheria katika mitindo wakati mwingine unaweza kusema zinavunjwa,hiyoa ndiyo meseji toka kwa Rihanna aliuambia umati ulioudhuria maonyesho ya mitindo jana baada ya kuvalia kivazi cha ajabu cha gauni la wavu (sheer
fishnet gown,).
Rihanna alitunukiwa tuzo ya 2014
Fashion Icon Award na the Council of Fashion Designers of America(CFDA) tuzo aliyokabidhiwa na mhariri wa jarida laVogue, Anna Wintour."
Akipokea tuzo hiyo Rihanna aliongelea asili yake ya huko Barbados ambako hakuwa na nafasi ya kufanya makubwa katika mitindo japo anaamini ndiyo iliyomfikisha hapo alipo.Ameongeza maswla ya mitindo yalikuwamo akilii mwake tangu akiwa mdogo ambapo alijiamini kwa kusema hata mtu akimpita uzuri yeye atamfunika katika mitindo ya uvaaji na nywele
Rihanna anakili kuwa ni mdhaifu katika maswala mengine ila mitindo inaziba pengo hilo hata kama kuna sheria wakati mwingine zimewekwa ili zivunjwe
Hawa ni baadhi ya washindi wa tuzo hizo:
WOMENSWEAR DESIGNER OF THE YEAR
Alexander Wang
Joseph Altuzarra
Marc Jacobs
MENSWEAR DESIGNER OF THE YEAR
Thom Browne
Marcus Wainwright & David Neville, Rag & Bone
Dao-Yi Chow & Maxwell Osborne, Public School
ACCESSORIES DESIGNER OF THE YEAR
Alexander Wang
Jack McCollough & Lazaro Hernandez, Proenza Schouler
Ashley Olsen & Mary-Kate Olsen, The Row
Rihanna Lupita Nyon'go
Jennifer Hudson Solange
WOMENSWEAR DESIGNER OF THE YEAR
Alexander Wang
Joseph Altuzarra
Marc Jacobs
MENSWEAR DESIGNER OF THE YEAR
Thom Browne
Marcus Wainwright & David Neville, Rag & Bone
Dao-Yi Chow & Maxwell Osborne, Public School
ACCESSORIES DESIGNER OF THE YEAR
Alexander Wang
Jack McCollough & Lazaro Hernandez, Proenza Schouler
Ashley Olsen & Mary-Kate Olsen, The Row
Rihanna Lupita Nyon'go
Jennifer Hudson Solange
0 comments:
Post a Comment