Jennifer Lopez na aliyekuwa mpenzi wake,Casper Smart wameachana rasmi baada ya mahusiano yao kudumu kwa takribani miaka miwili na nusu.Mtandao wa TMZ umesema,mtu wa karibu na wawili hao amethibitisha kwamba Jennifer Lopez na Casper Smart japo bado marafiki lakini wameachana miezi miwili iliyopita japo hawakutangaza.
Casper is in the process of moving out right now. We're told there was no rush because JLo's been on the
Picha hapo chini ni Jennifer Lopez na Casper Smart enzi za mapenzi yao.
Friday, June 6, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment