Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, June 6, 2014

 Taylor Swift Childrens Hospital Donation

Hili ni jambo jemba na ni mfano wakuigwa,ndilo neno walilosema madaktari wa hospitali moja huko marekanai baada muimbaji mahiri na mshindi mara saba wa tuzo kubwa kabisa duiani ya Grammy,Taylor Swift baada ya kujitlea na kuchnagia kiasi cha dola za kimarekani 50,000 katika hospitali ya watoto wanaougua kansa ya Philadelphia. Taylor Swift mwenye umri wa miaka 24,amejitolea kiasi hicho cha pesa  kitakachotumika kuanzisha program maalumu ya kuwafundisha muziki wa kuimba na kucheza watoto wenye matatizo ya kansa.

0 comments:

Post a Comment