Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, July 2, 2014

50 Cent Tells Floyd Mayweather To Leave T.I.'s Wife Tiny Alone





50 Cent  kipande cha video na kukirusha katika Instagram kipande kinachoelezea bifu kati ya rappa T.I. na Floyd Mayweather kufuatia bondia huyo kuonekana akilazimisha salamu na kupotezea kwa mke wa rappa T.I  katika red carpet ya tuzo za BET june 29.  50 ameanza kwa kusema:unafanya nini wewe bondia bingwa? achana na haya mambao yaishe lasivyo itakugharimu kwasababu chokochoko unazozifanya kwa mke wa mtu zinaweza kukuponza ukapigwa risasi,acha,kufatafata mke wa mtu,mwenyewe ni mtata pia.

0 comments:

Post a Comment