Yeezus aliamsha mashabiki waliohudhuria katika ukumbi wa Times Square katika tamasha la kuchangia (The benefit concert)maalumu ajili ya siku ya ukimwi duniani (World AIDS Day) lililoandaliwa na RED.
Rappa Kanye alitoa burudani ya dakika 9 na kushusha hits songs zake kuanzia “Power,” “Jesus Walks,” na hata “Black Skinhead,akaendelea na “Stronger,” ila wakati akiendelea kama dj na band waliuachawimbo unde sana ndipo kanye alipowajia juu na kuwaambia “Next song, you’re supposed to cut. We on TV,.
Tamasha hilo la The benefit concertpia lilifana kwa show za nguvu toka kwa mastaa Carrie Underwood,U2 with Bruce Springsteen na Chris Martin.
Tuesday, December 2, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment