Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, March 30, 2015


 Amber Rose na Wiz Khalifa wameamua kufanya maamuzi ya maana baada ya kusemekana kuelewana kusahau tofauti zao ili mtoto wao Sebastian mwenye umri wa miaka 2 apate malezi bora.
Tarifa zaidi zinadai kwamba wimbo mpya wa Wiz ambao pia umetumika kama soundtrack katika fillamu mpya ya "Furious 7"  umepelekea maelewano hayo baada ya Amber kuusikiliza.
Soma baadhi ya maneno yaliyomo katika wimbo huo:
How could we not talk about family when family's all that we got?Everything I went through you were standing there by my sideAnd now you gonna be with me for the last ride

Filamu ya Furious 7 aka Fast & Furious 7 2015 ni filamu ya Action ya kimarekani ambayo ni ya mwizo katika filamu za muendelezo za  Fast & Furious .Fila mu hizi zimeandikwa na Chris Morgan na kuongozwa na  James Wan na zinahusisha mastar kama Vin Diesel, Paul Walker, Dwayne Johnson, Michelle Rodriguez, Jordana Brewster, Tyrese Gibson, Ludacris, Lucas Black na Jason Statham.
Katika filamu hii ya mwisho pia anaonekana mshiriki Paul Walker ambaye alifariki November 30, 2013 katika ajali ya gari huku akiwa ameshiriki nusu ya utengenezaji wa filamu hiyo ambapo ililazimu watumike kaka zake kukamilisha.Furious 7 imepangwa kuzinduliwa na kuonyeshwa katika majumba ya sinema April 3, 2015.

0 comments:

Post a Comment